- Katika ndoto ulizo nazo, chagua NDOTO moja uanze nayo(ukimbie nayo)
- Amini NDOTO yako, uliyonayo siku moja itakuwa kwenye uhalisia
- Omba msaada kwa waliokutangulia, mfano NDOTO yako ni kuandika vitabu kuna watu walishaandika vitabu kabla yako,
- Kuna nyakati unabidi ubadili mfumo wa maisha yako, ili kuweza kufikia NDOTO yako.
- Weka kikomo cha kufanya NDOTO yako, mfano, unataka kuandika kitabu unaweka kuwa utaandika kwa mda gani, labda utaandika kwa miezi 18.
- Waambie watu wengine kuhusiana na NDOTO yako uliyonayo, kwasababu unapo tamka neno, kunanguvu, kumbuka hilo,
- Karika kila Safari kuna vikwazo, usiogope kwa vikwazo vitakavyotokea, na chuga visiwe chanzo cha kutaka kuua NDOTO YAKO
Tuesday, January 1, 2013
MAMBO 7 YATAKAYO KUSAIDIA KUTIMIZA NDOTO YAKO
Subscribe to:
Posts (Atom)